Njia ya Haki
TEHRAN (IQNA) – Mzee mmoja ambaye alifika Msikitini kulalamika kuhusu kelele katika eneo hilo la ibada huko Australia hatimaye alisilimu baada ya kukaribishwa kwa ukarimu na waumini waliokuwa Msikitini hapo.
Habari ID: 3476918 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/26